Wednesday, November 21, 2012

Mafunzo ya uwajibikaji jamii (SAM) Kondoa

Mkuu wa wilaya ya Kondoa  OMAR KWAANG’ akifungua Mkutano wa uwajibikaji jamii katika wilaya ya Kondoa ulioisha katikati ya mwezi wa kumi na moja

Baadhi ya Madiwani wa wilaya ya Kondoa  wakisikiliza kwa umakini mada iliyokuwa ikiendeshwa na wakufunzi  katika mkutano huo

Shabani Mohamed , mjumbe wa  timu ya SAM kondoa akichangia hoja katika mkutano

 

Katika matukio mawili tofauti , wawezeshaji wa Mkutano wa  SAM  , Lilian Kallage na Nicholous Lekule wakichangia hoja mbele ya wajumbe.
Post a Comment