Monday, August 25, 2014

Sikika yafanya Mkutano na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT): 21 Agosti, 2014

Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu kutoka Sikika Bw. Zakayo Mahindi akiwasilisha mada juu ya zoezi la Ufuatiliaji na Uwajibijaki kwa Jamii (SAM) katika mkutano baina ya Sikika na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT). 

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (NAOT) Bw. Francis Mwakapalila akifafanua jambo katika mkutano huo. 
Mkuu wa Programu Sikika Bw. Patrick Kinemo akitoa ufafanuzi juu ya mada iliyowasilishwa kuhusiana na zoezi SAM. 
Mkaguzi Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) Bw. Warento Nyanchogu akiuliza swali juu ya uendeshaji wa zoezi la SAM.
 Mhasibu Mkuu wa NAOT Bw. Elias Kwandikwa akifanunua jambo katika mkutano huo. Kulia ni Msaidizi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali - Utawala na Serikali kuu Benja Majura.
Mkuu wa Idara ya Utawala na Usimimamizi wa Fedha za Afya toka Sikika Bw. Gaspar Mashingia (Katikati) akichangia  jambo.

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Francis Mwakapalila  (Kulia) akijibu baadhi ya hoja.

Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Francis Mwakapalila  (Kulia) akifafanua baadhi ya hoja zilizowasilishwa na Sikika.

Sikika na NAOT katika picha ya pamoja.

Post a Comment