Monday, September 15, 2014

Balozi wa Uswisi nchini atembelea ofisi za Sikika Dodoma: 11 September 2014

Balozi wa Uswisi nchini Olivier  Chave akiwa katika ofisi za Sikika Dodoma.
Mkuu wa programu za Sikika Bw. Patrick Kinemo (Watatu kutoka kulia) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Olivier  Chave alipotembea ofisi za Sikika Dodoma. Wakwanza kutoka kulia ni Mhasibu Mkuu wa Sikika Bi. Redempta Mushi, (Wapili) ni Afisa Mwajiri wa Sikika Bi. Stella Munisi na (Wamwisho kulia) ni Mkuu wa Ofisi ya Kanda Sikika Dodoma Bi.Norah Mchaki.

Bw. Patrick Kinemo akiagana na Balozi wa Uswisi nchini Olivier  Chave  katika ofisi za Sikika Dodoma. 
Balozi wa Uswisi nchini Olivier  Chave (Kushoto) na Bw. Patrick Kinemo wakiwa katika picha ya pamoja. 
Picha ya Pamoja: Balozi wa Uswisi nchini Olivier  Chave (Katikati) na wafanyakazi wa Sikika.

Post a Comment