Monday, September 15, 2014

Sikika yashiriki katika uzinduzi wa uboreshaji wa mfumo wa Upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kupitia mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma: 11 September 2014

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akifungua ukifungua mkutano uzinduzi wa  mradi wa uboreshaji na mfumo wa upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kupitia mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Kebwe Steven Kebwe akisoma hotuba ya ufunguzi wa mradi wa uboreshaji wa mfumo wa upatikanaji wa dawa na vitaa tiba kupitia mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma.
Dk. Kebwe Steven Kebwe (Kulia) akizindua rasmi mradi wa uboreshaji wa mfumo wa upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kupitia mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma (Katikati) ni Balozi wa Uswisi nchini, Olivier Chave akishiriki katika uzinduzi huo.


Mkuu wa programu za Sikika Bw. Patrick Kinemo (Kulia) na Mkuu wa Ofisi ya Kanda Sikika Dodoma (Katikati) wakifuatalia kwa umakini hafla ya uzinduzi wa mradi huo mkoani Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Bw. Omar Kwaang' (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Chemba  Bw. Francis Isaack wakiwa katika uzinduzi huo.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Bw. Christopher Kangoye (Kulia) akifurahia jambo.


Baadhi ya Wadau mbalimbali wa Afya nchini wakifuatilia uzinduzi wa mradi wa uboreshaji wa upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kupitia mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma.
Kikundi cha ngoma ya asili kutoka mkoani Dodoma wakitumbuiza katika hafla hiyo.


Post a Comment