Tuesday, February 10, 2015

Wadau wa Maendeleo kutoka Canada na Ireland walipotembelea Zahanati ya Chipogolo wilaya ya Mpwapwa

Afisa Tabibu Mfawidhi Zahanati ya Chipogolo Wilayani Mpwapwa Dominick Laurian, (Kushoto) akiwaelezea wadau wa maendeleo kutoka nchi za Canada na Ireland baadhi ya mafanikio ya zoezi la SAM. Hapo awali zahanati hiyo ilikuwa ikikabiliwa na changamoto za Kitanda cha kujifungulia wakinamama wajawazito, Umeme pamoja na  Mashine za kuhesabu CD4. 
 Dominick akifafanua jambo.
Kitanda cha kujifungulia akinamama wajawazito katika zahanati hiyo ambacho hapo awali kulikua hakuna.
Dk. Dominick (Kulia) akionesha jinsi mashine ya kuhesabu CD4 inavyofanya kazi ambapo awali zahanati hiyo ilikua haina kifaa hicho.

Mashine ya Kuhesabu CD4.

Kamati ya Usimamizi ya Kituo. Kulia ni Bw. Saidi Kizumbe, (Katikati) Bw. Isaya Msumari na Bw. Walles Nkamanjenzi
Wadau wa maendeleo wakiongea na Kamati ya Usimamizi wa Kituo hicho.
Zahanati ya Chipogolo wilaya ya Mpwapwa.

Post a Comment