Tuesday, February 10, 2015

Wadau wa Maendeleo kutoka Canada na Ireland walipotembelea Kituo cha Afya Kibakwe Wilayani Mpwapwa

Afisa Tabibu wa Kituo cha Afya Kibakwe Dk. Tiophily Aloyce akisoma taarifa fupi ya kituo mara baada ya kuwakaribisha Wadau wa maendeleo waliotembea kituoni hapo.

Mshauri wa Masuala ya Afya,  Kira Thomas (Kulia) akielezea jambo katika mkutano huo. Kulia kwake ni Afisa  Maendeleo, Delphine Tardif kutoka nchini Canada.

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dk. Said Ali Mawji (Kulia) akiwafafanulia jambo.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo. 
Katibu wa Mbunge - Kibakwe Bw. Said M. Mgutho akielezea jambo katika mkutano huo. 
 Mkuu wa Ofisi ya Kanda Sikika - Dodoma Bi. Norah Mchaki akifafanua baadhi ya changamoto wanazokumbana nazo wananchi kituoni hapo.

Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo. 
Kituo cha Afya Kibakwe

Post a Comment