Wednesday, January 24, 2018

Sikika yashiriki katika Mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Marejeo ya Utendaji wa Sekta ya Afya (JAHSR) 2018


Mkuu wa Idara za Program (HoP) kutoka Sikika,  Alice Monyo akisoma tamko kwa niaba ya AZAKI zinazoshughulika na masuala ya afya nchini katika Mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Marejeo ya Utendaji wa Sekta ya Afya (JAHSR) 2018. 

 Mkurugenzi wa sekta binafsi katika masuala ya Afya, Dk. Samwel Ogillo akisoma tamko kwa niaba ya sekta binafsi. 

Balozi wa Ujerumani, Dk. Detlef Wachter akizungumza kwa niaba ya wadau wa maendeleo.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Marejeo ya Utendaji wa Sekta ya Afya kwa mwaka (JAHSR) 2018.  

Wadau mbalimbali walioshiriki katka Mkutano wa JAHSR 2018.


Mkurugenzi wa Idara ya Uhakiki Ubora kutoka Wizara ya Afya, Dk. Mohammed Mohammed akiwasilisha mada juu ya mapendekezo ya kisera katika sekta ya afya.
Majadiliano yakiendelea.
Mkurungenzi Mtendaji wa Sikika, Bw. Irenei Kiria akitoa mapendekezo ya kisera katika sekta ya afya. 


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh.Dk Faustine Ndugulile (wapili kushoto) akiwashukuru wadau kwa kushiriki na kutoa mapendekezo yenye lengo la kuboresha huduma za afya.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mh. George Joseph Kakunda akifunga mjadala na kuwashukuru wadau kwa kushiriki na kutoa mapendekezo yenye lengo la kuboresha huduma za afya nchini.
Wadau wa afya wakisaini makubaliano ya mapendekezo yaliyotelewa kwa ajili ya utekelezaji.

Post a Comment