Wednesday, September 3, 2014

Sikika yapongezwa kwa mafanikio ya zoezi la SAM katika Manispaa ya Ilala

 Mratibu wa Mipango ya Afya ya Manispaa - Ilala (Municipal Health Planning Coordinator) Dk. Nelson Mabruk (Kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Sikika Bw. Irenei Kiria kuhusu mafanikio yaliyopatikana kupitia zoezi la Ufatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) lililofanyika mwaka 2013 ndani ya manispaa hiyo. Dk. Mabruk ameahidi kushirikiana na Sikika katika kuboreshaji wa huduma za Afya.
Mkurugenzi wa Sikika Bw. Irenei Kiria (Kulia) akizungumza na Mratibu wa Mipango ya Afya ya Manispaa - Ilala (Municipal Health Planning Coordinator) Dk. Nelson Mabruk alipotembelea ofisi za Sikika.
Mkurugenzi wa Sikika Bw. Irenei Kiria (Kulia) akimuonyesha Mratibu wa Mipango ya Afya ya Manispaa - Ilala (Municipal Health Planning Coordinator) Dk. Nelson Mabruk moja ya ripoti ya wilaya ya Kondoa.









Dk. Nelson Mabruk akiipongeza Sikika kutokana na uboreshaji wa huduma za afya kupitia zoezi la SAM katika Manispaa ya Ilala.
Picha ya pamoja: Mkurugenzi wa Sikika Bw. Irenei Kiria (Wapili kushoto), Mratibu wa Mipango ya Afya ya Manispaa - Ilala (Municipal Health Planning Coordinator) Dk. Nelson Mabruk (Wapili kutoka kulia),  Mkuu wa Programu Sikika Bw. Patrick Kinemo (Wa kwanza kushoto) na Mratibu wa shughuli za Sikika Bw. Jackson Sikahanga.

No comments: