| Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (NAOT) Bw. Francis Mwakapalila akifafanua jambo katika mkutano huo. |
| Mkuu wa Programu Sikika Bw. Patrick Kinemo akitoa ufafanuzi juu ya mada iliyowasilishwa kuhusiana na zoezi SAM. |
| Mkaguzi Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) Bw. Warento Nyanchogu akiuliza swali juu ya uendeshaji wa zoezi la SAM. |
| Mhasibu Mkuu wa NAOT Bw. Elias Kwandikwa akifanunua jambo katika mkutano huo. Kulia ni Msaidizi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali - Utawala na Serikali kuu Benja Majura. |
| Mkuu wa Idara ya Utawala na Usimimamizi wa Fedha za Afya toka Sikika Bw. Gaspar Mashingia (Katikati) akichangia jambo. |
| Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Francis Mwakapalila (Kulia) akijibu baadhi ya hoja. |
| Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Francis Mwakapalila (Kulia) akifafanua baadhi ya hoja zilizowasilishwa na Sikika. |
| Sikika na NAOT katika picha ya pamoja. |
No comments:
Post a Comment