Sikika yafanya mkutano na wadau wa Afya wilayani Mpwapwa, ikiwa ni hatua ya awali ya zoezi la SAM 2014
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Bw. Christopher Kangoye, akizungumza na wadau mbalimbali wa afya (hawapo pichani), waliokaa toka (kushoto) ni Mkurugenzi Mkuu wa Wilaya hiyo Bi. Mwajina Lipinga, M/Kiti wa Balaza la Madiwani Bw. Bulamlete Nyaulingo na Mratibu wa Sikika Bi. Aisha Hamis (kulia).
M/Kiti wa Balaza la Madiwani Bw. Bulamlete Nyaulingo akichangia jambo katika mkutano huo.
Diwani Kata ya Kimaga ambaye pia ni Mjumbe wa timu ya SAM Mh. Michael Kuchela akizumgumza katika mkutano huo.
M/Kiti Bodi ya Afya Wilaya ya Mpwapwa Bi. Monica Lumambo akizungumza jambo katika mkutano wa Wadau wa afya wilayani humo.
Waliokaa (Katikati) ni Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Bw. Christopher Kangoye, (katikati) M/Kiti wa Balaza la Madiwani Bw. Bulamlete Nyaulingo, Mkurugenzi Mkuu wa Wilaya (kushoto ) na Mratibu wa Sikika Bi. Aisha Hamis (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wateule wa timu ya SAM Mpwapwa 2014.
No comments:
Post a Comment