| Mkurugenzi wa sekta binafsi katika masuala ya Afya, Dk. Samwel Ogillo akisoma tamko kwa niaba ya sekta binafsi. |
| Balozi wa Ujerumani, Dk. Detlef Wachter akizungumza kwa niaba ya wadau wa maendeleo. |
| Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Marejeo ya Utendaji wa Sekta ya Afya kwa mwaka (JAHSR) 2018. |
| Wadau mbalimbali walioshiriki katka Mkutano wa JAHSR 2018. |
Mkurugenzi wa Idara ya Uhakiki Ubora kutoka Wizara ya Afya, Dk. Mohammed Mohammed akiwasilisha mada juu ya mapendekezo ya kisera katika sekta ya afya.
|
| Majadiliano yakiendelea. |
| Wadau wa afya wakisaini makubaliano ya mapendekezo yaliyotelewa kwa ajili ya utekelezaji. |
No comments:
Post a Comment