| Bi. Norah Mchaki akiwasilisha mada. |
| Bw. Mhina Kombo (Kulia) akifafanua jambo. |
| Wakaguzi wa vituo kutoka Ofisi ya NAOT Dodoma Kulia ni Bw. Fredrick Magawa na Bw. George Yohana katika ofisi za Sikika Dodoma. |
| Bi. Norah Mchaki akieleza Sikika inavyofanya zoezi la SAM linavyofanya kazi katika wilaya ambazo Sikika inafanya kazi. |
| Picha ya Pamoja: Sikika na NAOT Dodoma. |
No comments:
Post a Comment