| Meneja wa Kanda Bohari ya Dawa (MSD) Dodoma Bw. John Sipendi akichangia juu changamoto za usambazaji wa dawa na vifaa tiba nchini. |
| Kaimu Mganga Mkuu wilaya ya Ilala Dkt. Willy Sangu (Kulia) na Mganga mfawidhi zahanati ya Mongolandege, Rumishaeli Mwanga wakifuatilia mjadala. |
| Kaimu Mganga Mkuu, wilaya ya Iramba, Bw. Sunday Alphonce (Kulia) akifuatilia mjadala. |
| Mfamasia kutoka wilaya ya Kondoa, Bw. Said Mayanja (Kushoto) na Kaimu Mganga mkuu wilaya ya Kondoa, Reginald Saria (wa pili kushoto) walikuwa miongoni mwa washiriki. |
| Meneja wa Kanda Bohari ya Dawa (MSD) - Moshi, Bw. Celestine Hauli akichangia jambo katika mkutano huo. Kulia ni Mfamasia kutoka wilaya ya Temeke, Bw. Shaidi Simba. |
| Afisa Programu, Sikika Bi. Josephine Nyonyi akiwasilisha mwenendo wa Bajeti ya dawa muhimu na vitaa tiba. |
| Mganga Mkuu wilaya ya Kiteto, Dk. Sungwa Kabisi (Wa kwanza kushoto) na Mganga Mfawidhi zahanati ya Ndaleta - Kiteto Bw. Bahatieli William wakifuatilia mjadala. |
| Bi. Alice Monyo kutoka Sikika, akifanunua jambo. |
| Bw. Celestine Hauli akitoa ufafanuzi juu ya tatizo la mfumo wa usambazaji dawa na vifaa tiba katika baadhi ya vituo vya huduma za afya vya umma nchini. |
| Regional Prime Vender Coordinator - Mkoa wa Dodoama Dk. Ibenzi Ernest akitoa ufafanuzi. |
| Mfamasia Manispaa ya Ilala, Bw. Moses Michael akipitia Jarida la Sikika. |
| Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) Bi. Alambo Msusa akipitia baadhi ya nyaraka. |
| Afisa Programu, Sikika Bi. Scholastica Lucas akiwasilisha mada juu ya changamoto za mfumo wa usambazaji wa dawa muhimu na vifaa tiba nchini. |
| Kaimu Mganga Mkuu, Wilaya ya Mpwapwa, Bw. Sigfrid Ishengoma akiishukuru Sikika juu ya ufuatiliaji na kuibua changamoto za mfumo wa usambazaji dawa muhimu na vifaa tiba. |
| Dk. Mfuko akitoa ufafanuzi juu ya mfumo wa usambazaji dawa. |
| Baadhi ya wadau wakiwa katika majadiliano. |
| Mganga Mfawidhi wilaya ya Temeke, Bi. Batuli Luhanda akitoa mapendekezo jinsi ya kuboresha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika ngazi zote nchini. |
| Mfamasia wa Wilaya ya Mpwapwa, Bw. Paulo Ngoile akipendekeza Serikali itekeleze Azimio la Abuja. |
| Mganga Mkuu wilaya ya Singida Vijijini, Dkt. Erick Bakuza akichangia mada juu ya kuboresha mfumo wa upatikanaji dawa na vifaa tiba katika ngazi zote. |
| Afisa kutoka NHIF wilaya ya Kibaha, Bw. Evance Nyangasi akitoa ufafanuzi juu ya Mfuko wa Bima ya Afya. |
| Bw. John Sipendi akitoa mapendekezo juu ya uboreshaji wa mfumo huo. |
| Baadhi ya Wadau wa masuala ya dawa na vifaa tiba nchini wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment