Thursday, March 27, 2014

Sikika Support EJAT Event! 2013/2014



Mkurugenzi wa Sikika Irenei Kiria akitoa neno kabla ya kumtaja mshindi wa tuzo ya umahiri katika afya


Mkurugenzi wa Sikika Irenei Kiria akimkabidhi zawadi Kalunde Jamal wa Gazeti la Mwananchi baada ya kushinda tuzo ya umahiri katika Afya.Tuzo hizo ziliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) 2013.




Washindi wa tuzo za Umahiri zilizoandaliwa na MCT 2013 wakiwa katika picha ya pamoja

No comments: