Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC): 19 September 2014
Mjumbe wa Bodi ya THRDC Bw. Sued Kubenea akitoa tamko la kulaani matumizi ya nguvu dhidi ya wanahabari yaliyofanywa na Jeshi la Polisi nje ya Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam Septemba 19, 2014.
Wajumbe wa THRDC wakimsikiliza katibu wa mtandao huo wa watetezi wa Haki za Binadamu, Bw. Onesmo Olengurumwa katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam Septemba 19, 2014.
No comments:
Post a Comment