Thursday, November 6, 2014

Mkutano wa Kitaalam wa Mapitio ya Sekta ya Afya kwa mwaka 2014 - Technical Review Meeting (TRM)

Bi. Beatrice Mkani kutoka Sikika idara ya Usimamizi na Tathmini akiwasilisha mada juu ya Rushwa ndogo ndogo katika sekta ya afya katika mkutano wa kitaalam wa mapitio ya sekta ya afya kwa mwaka 2014. Mkutano huo ulifanyika Kunduchi Beach Resort jijini Dar es Salaam. 
Beatrice Mkani akitoa ufafanuzi juu ya mada.
Beatrice Mkani akitoa mada. 
Mkuu wa programu za Sikika Bw. Patrick Kinemo akitoa ufafanuzi wa baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wadau mbalimbali wa afya.
Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Donann Mmbando akifuatilia uwasilishwaji wa mada ya Sikika kwa umakini.
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya Dk. Deo Mtasiwa akifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa mada kutoka Sikika. 

Baadhi ya wadau wa afya  wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika mkutano huo.






Mkuu wa Idara ya Dawa na vifaa tiba kutoka Sikika  Bi.Alice Monyo (Kulia) na Afisa programu Idara ya Raslimali Watu Dk. Wilson Kitinya (Wapili kulia) wakifuatilia uwasilishwaji wa mada mbalimbali.

Mjumbe wa Bodi ya Sikika Dk. Elihuruma Nangawe (Kushoto) akifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa mada. 


Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya Dk. Deo Mtasiwa akitolea ufafanuzi wa baadhi ya hoja. 

Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya Dk. Deo Mtasiwa (Kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa programu za Sikika Bw. Patrick Kinemo. 

No comments: