| Afisa Mipango wa wilaya ya Kilolo Bw. Jasphone Mukungu akikaribisha wadau wa afya katika mkutano huo. |
| Afisa programu kutoka Sikika Bw. Hendry Samky akitambulisha wadau mbalimbali wa afya. |
| Bw. Irenei Kiria akitoa neno la shukrani. |
| Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo Bw. Aloyce Kwezi akisoma hotuba mbele ya waandishi wa habari na wadau wa afya (hawapo pichani). |
| Mjumbe wa timu ya SAM Bi. Rehema Msola akiwasilisha matokea ya zoezi la SAM. |
| Baadhi ya wadau wa afya wakifuatilia akiwasilishaji wa matokea ya zoezi la SAM wilayani Kilolo. |
| Mjumbe wa SAM Bw. Amos Lugwago akiwasilisha matokea ya zoezi la SAM katika picha. |
| Mganga Mkuu wa wilaya ya Kilolo Dkt. Mohamedi Mang'una akitoa muongozo wa ratiba katika mkutano huo. |
| Timu ya SAM na wadau wa afya katika picha ya pamoja. |
| Timu ya SAM katika picha ya pamoja na mgeni rasmi (wa saba kutoka kulia). |
| Kamati ya Fedha, Mipango na Utawala katika picha ya pamoja na mgeni rasmi. |
| Wajumbe wa Kamati za Usimamizi wa Vituo vya huduma za afya katika picha ya pamoja. |
| Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo Bw. Valence Kihwaga akiongea na baadhi ya waandishi wa habari. |
| Mwenyekiti wa timu ya SAM wilaya ya Kilolo Bw. John Kasuga akitoa neno la shukrani mbele ya wadau wa afya (hawapo pichani). |
| Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo Bw. Valence Kihwaga akifunga mkutano wa wadau wa afya wilayani Kilolo. |
No comments:
Post a Comment