| Bw. Kibasa Falesy Mohamed akizungumza katika mkutano huo. |
| Bw. Mohamed Thawa akipokea baadhi ya nyaraka kutoka kwa Timu ya Utawala wa Afya ya Halmashauri (CHMT) kwa ajili ya majadiliano. |
| Timu ya Utawala wa Afya ya Halmashauri (CHMT). |
| Mratibu wa Sikika wilayani Kondoa Bw. Nelson Lema akitoa utambulisho. |
| Mjumbe wa timu ya SAM Bi. Shakila Ibrahim (Kushoto) akifafanua hoja. Kulia ni Mh. Mtendaji Mwanaisha Maiwa. |
| Mjumbe wa timu ya SAM Ally Kisele akiomba ufafanuzi wa kina kuhusu ujenzi wa wodi katika hospitali ya wilaya. |
| Mjumbe wa timu ya SAM, Mh. Bashiru akitaka ufafanuzi zaidi juu ya hoja zilizowasilishwa. |
| Katibu Mkuu wa wilaya ya Kondoa Bw. Alpha Cholobi akitoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja. |
| Mganga Mkuu wa wilaya ya Kondoa Dk. Rashid Ikaji akitoa ufafanuzi wa hoja zilizotolewa na timu ya SAM. |
| Bw. Kibasa Falesy Mohamed akiagana na wajumbe wa timu ya SAM baada ya Mkutano. |
No comments:
Post a Comment