Friday, October 7, 2016

Jitihada za haraka zifanyike kutatua Uhaba wa Dawa nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika Bw. Irenei Kiria akiongea mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya suala la Uhaba wa Dawa unaoikabili Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini. Kulia ni Mkuu wa programu za  Afya - Sikika Bi. Alice Monyo na Kushoto ni Mkurugenzi wa programu za Sikika Bw. Patrick Kinemo.  
 Bw. Irenei Kiria akisisitiza jambo.

Bw. Patrick Kinemo akitoa ufafanuzi zaidi juu ya suala la Uhaba wa dawa katika mkutano huo.  

Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo. 
Unaweza kupata tamko hilo kupitia tovuti yetu ya www.sikika.or.tz








No comments: