Thursday, October 25, 2012

Sikika ikiendesha mafunzo ya kufuatilia na kusimamia uwajibikaji wa jamii ( Public Social Accountability Monitoring - PSAM) wilayani Mpwapwa

Nelson Lema mmoja wa washiriki  akitoa mchango wake kuhusiana na uwajibikaji na upatikanaji wa taarifa kwa jamii (PSAM) katika kuleta maendeleo ya wilaya ya mpwapwa.Mkutano huo ulifanyika katika ofisi za  Pattuu, mkoani dodoma.


Baadhi ya washiriki wakitoa michango yao katika vikao mbalimbali vya SAM mkoani Dodoma.Sikika ilifanya mafunzo ya kufuatilia na kusimamia uwajibikaji wa jamii ( Public Social Accountability Monitoring - PSAM)


No comments: