Monday, October 22, 2012

Mafunzo ya uwajibikaji katika jamii (SAM)

MAFUNZO YA KUFUATILIA NA KUSIMAMIA UWAJIBIKAJI WA JAMII ( Public Social Accountability Monitoring - PSAM)

Mafunzo ya yanayotelewa juu ya uwajibikaji huko mkoani Dodoma katika kijiji cha mlembule

  
Toka kushoto ni Sanduku la maoni lililpo karibu na kituo cha basi kijiji cha Tambi wilaya ya Mpwapwa litakalotumiwa na wanakijiji katika kutoa maoni,ushauri na malalamiko katika kijiji hicho.
Kulia ni sanduku la maoni liliopo kwenye kituo cha afya katika kijiji cha Tambi 

No comments: