Tuesday, February 26, 2013

Makabidhiano ya Hundi kati ya Sikika na Baraza la Habari Tanzania (MCT)

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Sikika, Bibi. Lilian R. Kallaghe, akimkabidhi hundi  ya Tshs. 4, 000,000/- Bw. Allan Lawa wa Baraza la Habari Tanzania-(MCT)
kwa ajili ya kuchangia Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari (EJAT). Picha na Said Hassani.

No comments: