Tuesday, April 9, 2013

Sikika Support EJAT Event!

Mkurugenzi wa Sikika Irenei Kiria akimkabidhi zawadi Beatrice Shayo wa Gazeti la Nipashe baada ya kushinda tuzo ya umahiri katika Afya.Tuzo hizo ziliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) 2012.

Hongera kwa ushindi wa tuzo ya Afya Beatrice Shayo!

Baadhi ya washiriki wakisubiri kwa shauku kutangazwa kwa mshindi wa tuzo ya umahiri katika kipengele cha Afya.Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Dimond Jubilee siku ya Ijumaa.

No comments: