Friday, May 17, 2013

Sikika ikiendeleza zoezi la Ufuatiliaji na Uwajibikaji Jamii (SAM)katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani


Baadhi ya wananchi kutoka kata ya Ukonga wakisikiliza kwa makini maelezo na namna ya utekelezaji wa zoezi la SAM.















Wawakilishi watatu waliongia katika mchakato wa kumtafuta muwakilishi mmoja ambaye atawakilisha wananchi wa kata ya Ukonga katika timu ya utekelezaji wa zoezi la SAM.





Dominica Daniel ndiye alieibuka kidedea mara baada ya kuchaguliwa na wananchi katika kuwawakilisha katika timu ya SAM.
Funua hapa umuone anaetafutwa!


Anaetafutwa ndio huyu?



Mratibu wa shughuli za Sikika, Bw.Jackson Sikahanga akitoa maelezo kwa wananchi jinsi ya kumpata mwakilishi katika zoezi la SAM mkoani Kibaha.


Jakson Sikahanga akiwaelezea wananchi wa Kibaha namna ya utekelezaji wa zoezi la SAM utakavyofanyika.




Jackson akiwa na Shaban Kibwana ambae ni mwakilishi aliechaguliwa na wananchi wenzake kuwawakilisha katika timu ya SAM.

No comments: