Thursday, October 30, 2014

Police & Tanzania Human Right Defenders (THRDs) Workshop on human rights

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Sikika Ms. Lilian Kallaghe, akichangia mada katika warsha ya Haki za Binadamu iliyondaliwa  na THRD- Coalition na kushirikisha Jeshi la Polisi.   
Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa THRD, Ms. Martina Kabisama akitoa maelezo kuhusu umuhimu wa ushirikiano wa Watetezi wa Haki za Binadamu katika kudumisha amani nchini Tanzania.
Kamanda wa Polisi, ACP.Camillus Wambura kutoka mkoa wa kipolisi wa Kinondoni akizungumza jambo katika mkutano wa watetezi wa haki za binadamu ulioshirikisha Jeshi la Polisi na CSOs.  
Naibu Inspekta wa Jeshi la Polisi, Abdulrahman  Kaniki akifungua mkutano wa Watetezi wa Haki za Binadamu jijini Dar es Salaam, 28 Oktoba, 2014. 
Baadhi ya Maafisa wa ngazi ya juu kutoka Jeshi la Polisi na wawakilishi wa CSOs walioshiriki mafunzo ya Watetezi wa Haki za Binadamu yaliyoandaliwa jijini Dar es Salaam na Mtandao wa THRD, Oktoba  28 & 29, 2014.

No comments: