| Wakaguzi wa vituo kutoka Ofisi ya NAOT Dodoma, Bw. Fredrick Magawa (Kulia) na Bw. George Yohana katika ofisi za Sikika Dodoma. |
| Kira na Delphine wakisikiliza jambo kwa makini. |
| Mkuu wa Ofisi ya Kanda Sikika - Dodoma Bi. Norah Mchaki akisisitiza jambo katika mkutano huo. |
| Picha ya Pamoja: Wadau wa maendeleo, NAOT na wafanyakazi wa Sikika - Dodoma. |
| Bw. Dennis Bandisa, (Kulia) akiwakaribisha Wadau wa maendeleo katika katika ofisi za TAMISEMI mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment