Tuesday, February 10, 2015

Wadau wa Maendeleo kutoka nchi za Canada na Ireland wafanya mkutano Wabunge Tanzania

Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile akizungumza masuala mbalimbali katika kikao cha pamoja na Wadau wa maendeleo kutoka nchi za Canada na Ireland. Kushoto kwake ni Mbunge wa Nkasi Kasikazini Ally Keissy.




Afisa  Maendeleo, Delphine Tardif (Kulia) na Mshauri katika masuala ya afya Kira Thomas wakifuatilia mazungumzo kwa makini.
Picha ya Pamoja: Wadau wa maendeleo, Sikika na Dk. Faustine Ndugulile (Mbunge).
Mbunge wa Kisesa, Mh. Luhaga Mpina akizungumza na wadau wa maendeleo kutoka nchi za Canada na Ireland.
Mh. Mpina akifananua jambo.





No comments: