Monday, March 23, 2015

Serikali inapaswa kumaliza tatizo sugu la Ukosefu wa Damu Salama nchini

 Mkuu wa program za Sikika, Bw. Patrick Kinemo akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya tatizo la ukosefu wa Damu Salama nchini. Kushoto ni Afisa program Idara ya Dawa na Vifaa Tiba, Bi. Sikika Scholastica Lucas. 
Bw. Patrick Kinemo akisisitiza jambo.


Afisa program Idara ya Dawa na Vifaa Tiba kutoka Sikika, Bi. Scholastic Lucas akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa waandishi wa habari katika mkutano huo. 
Baadhi ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwa kazini. 
Baadhi ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatalia usomwaji wa  tamko hilo kwa makini. 


 Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakichukua habari kwa umakini.

No comments: