Monday, March 16, 2015

Sikika yafanya Mkutano na Wabunge kutoka Canada


Mkurugenzi wa Sikika Bw. Irenei Kiria (aliyekaa), akiwa na wajumbe wa jumuiya ya wabunge kutoka nchini Canada (Canada - Afrika Parliamentary Association - CAPA) katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano kumalizika. Wa kwanza kutoka kushoto ni Peter Goldring (Kutoka Edmonton East, Alberta, Canada) na Raynell Andreychuk (Kutoka chama cha Conservative, Canada). Wa kwanza  kutoka kulia ni Mkuu wa programu za Sikika Bw. Patrick Kinemo, Jim Munson (Kutoka chama cha Liberal, Canada) na Mauril Bélanger (Kutoka Ottawa, Vanier, Ontario, Canada). Dhumuni la mkutano huo ilikua ni kujadili maeneo ya kipaumbelea katika sekta ya afya kati ya Tanzania na Canada.

No comments: