Wednesday, March 4, 2015

Sikika na mashirika mengine binafsi yatia saini ya makubaliano ya Mpango wa kusaidia Sekta ya Afya nchini (Health Sector Support Program - HSPS V)

Balozi wa Denmark nchini Tanzania (Kulia) Johnny Flento akieleza nia ya kuweka makubaliano katika kusaidia sekta ya afya nchini kupitia Mpango namba tano wa kusaidia Sekta ya Afya (Health Sector Support Programme - HSPS V) . Makubaliano hayo yaliwekwa na mashirika binafsi na yale yasiyo ya kiserikali pamoja na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando akieleza hali ya sekta ya afya nchini. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (Katikati) akisaini makubaliano ya Mpango wa kusaidia Sekta ya Afya nchini. 

Balozi wa Denmark nchini Tanzania  Johnny Flento akisaini makubaliano hayo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando akiweka saini.
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya Dk. Deo Mtasiwa akiweka saini. 



Mkurugenzi wa Sikika (Kulia) Bw. Irenei Kiria akisaini makubaliano ya mpango huo.



Mkurugenzi Mtendaji wa CCBRT Bw. Erwin Telemans akiweka saini.

Regional Coordinator, Southern Africa Ulla E. Muller kutoka Maria Stopes akiweka saini. 

Mkurugenzi wa Christian Social Services Commission (CSSC) Peter Maduki kulia, akiweka saini makubaliano hayo.

Mkurugenzi Mtendaji wa APHFTA (Kulia) Dk. Samwel Ogillo akiweka saini. 

Bw. Irenei Kiria (Kushoto) akifurahia jambo na Bw. Erwin Telemans



Kutoka kushoto ni Dk. Deo Mtasiwa, Dk. Donan Mmbando (Katikati) na Bw. Irenei Kiria katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano huo kumalizika.
Bw. Irenei Kiria akifanyiwa mahojiano na vyombo vya habari mara baada ya mkutano.  
Picha ya Pamoja: Wizara ya Afya na Mashirika yasiyo ya kiserikali katika picha ya pamoja.

No comments: