Thursday, April 30, 2015

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU ( THE TANZANIA HUMAN RIGHTS DEFENDER'S DAY)

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Tom Nyanduga, akitoa risala fupi baada ya kuwatunukia Tuzo washindi wa Haki za Binadamu kwa mwaka 2014.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Tom Nyanduga, akizindua ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2014. 


Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR Mageuzi), David Kafulila akikabidhiwa Tuzo ya utetezi wa haki za binadamu ya mwaka 2014. 
David Kafulila akitoa shukrani mara baada ya kupokea tuzo hiyo.

Watetezi waliotambulika na kupewa zawadi ya kuwa watetezi bora wa mwaka 2014 kutokana na mazingira hatarishi waliyofanyia utetezi wao. Wa kwanza kushoto ni Bi. Salma Hamoud ( Mtetezi Mwanamke kutoka Zanzibar), katikati ni David Kafulila ( Tuzo ya ujasiri wa kuibua maovu (Whistle blower) na kulia ni Maanda Ngoitiko ( Mtetezi wa haki za binadamu vijijini).  
David Kafulila akisalimiana na Mwenyekiti wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini, Martina Kabisama.
Jamila Sullu akitoa maelezo kuhusu kuanzishwa kwa Mpango wa Haki za Binadamu ( Human Rigths Action Plan 2014). 






Watetezi na wa Haki za Binadamu katika picha ya pamoja.

No comments: