Wednesday, April 29, 2015

USIKU WA TUZO ZA UMAHIRI WA UANDISHI WA HABARI ZA EJAT 2014

Mkurungenzi wa Sikika Bw. Irenei Kiria akimkabidhi tuzo Tuma Dandi kutoka Mlimani Radio baada ya kuibuka mshindi kwenye Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari za EJAT 2014, katika kuripoti habari za afya kwa upande wa radio. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es salaam. 
Bw. Irenei Kiria akimbidhi Tuma Dandi zawadi. 



Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi mfano wa Hundi ya Tsh. milioni 3.8 mwandishi wa The Citizen, Bw. Lucas Liganga baada ya kuibuka mshindi kwenye Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari za EJAT 2014 katika kuandika habari za kuichunguzi upande wa magazeti.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi mfano wa Hundi ya Tsh. milioni 3.8 mwandishi wa The Citizen, Bw. Mkinga Mkinga baada ya kuibuka mshindi kwenye Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari za EJAT 2014 katika kuandika habari za kuichunguzi upande wa magazeti. 
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi mfano wa Hundi ya Tsh. milioni 10 mwandishi wa habari mkongwe, Jenerali Ulimwengu baada ya kuibuka mshindi katika tuzo ya maisha ya mafanikio katika uandishi wa habari (EJAT 2014). 

Rais wa Baraza la Habari Tanzania, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akimkabidhi zawadi Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal.
Jenerali Ulimwengu akitoa hotuba fupi mara baada ya kuibuka mshindi katika tuzo ya maisha ya mafanikio katika uandishi wa habari (EJAT 2014)

Kikundi cha ngoma kikitoa burudani. 




Mkurugenzi wa Sikika Bw. Irenei Kiria akijadili jambo na Dk. Ayub Rioba.









 Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa na wanahabari waliochukua tuzo za EJAT kwa mwaka 2014, katika picha ya pamoja.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa na wanakamati walioandaa hafla hiyo katika picha ya pamoja.  
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal katika picha ya pamoja na wadhamini wa tuzo za EJAT 2014.
Baadhi ya Waandishi wa habari wakichukua matukio mbalimbali. 
Mkurugenzi wa Sikika Bw. Irenei Kiria akitoa neno la mwisho katika hafla hiyo. 

No comments: