Monday, June 1, 2015

Serikali iongeze Bajeti ya Dawa Muhimu na Vifaa Tiba kwa 2015/16

Mkurugenzi Mkuu wa Sikika Bw. Irenei Kiria akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya kuitaka Serikali kuongeza bajeti ya dawa muhimu na vifaa tiba kwa 2015/16 ili kuhakikisha upatikanaji wa dawa nchini unaongezeka kufikia asilimia 80 mwaka 2016 kama inavyotarajiwa na mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).Kulia ni Mkuu wa Idara ya Dawa na Vifaa tiba Sikika Bi. Alice Monyo. Tamko la Sikika unaweza kulipata  hapa. Bofya TAMKO
Bw. Irenei Kiria akisistiza jambo katika taarifa hiyo.



Mkuu wa Idara ya Dawa na Vifaa Tiba, Kulia Bi. Alice Monyo akifafanua jambo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatialia tamko hilo kwa makini. 

No comments: