Monday, August 24, 2015

Ireland yawakabidhi scholarship watanzania 14 kusomea shahada ya uzamili

Afisa Rasilimali Watu na Utawala kutoka Shirika la Sikika, Bi. Stella Munisi (Kushoto), akipokea hati ya ufadhili kwenda kusomea shahada ya Uzamili kuhusu Organizational Development and Change katika Chuo Kikuu cha Dublin, Ireland. Kulia ni Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Bi. Fionnuala Gilsenan. 



Picha zote kwa hisani ya http://www.brotherdanny.com/

No comments: