| Baadhi ya wakurugenzi kutoka Asasi mbalimbali za Kiraia nchini. |
| Wakurugenzi kutoka Asasi mbalimbali za Kiraia nchini wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya AZAKI nchini. |
| Baadhi ya viongozi kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini. |
| Baadhi ya washiriki wakisoma Ilani hiyo. |
| Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika, Bw. Irenei Kiria (Kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu Bw. John Kalage wakisoma Ilani ya Uchaguzi ya AZAKI Tanzania mara baada ya kuzinduliwa rasmi. |
| Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bw. Bahame Nyanduga akisoma hotuba katika Uzinduzi wa Ilani ya Uchaguzi ya AZAKI nchini. |
| Bw. Bahame Nyanduga akikata utepe kuzindua Ilani ya Uchaguzi ya AZAKI Tanzania. |
| Bw. Bahame Nyanduga akiionyesha Ilani hiyo baada ya kuzinduliwa. |
| Baadhi ya washiriki wakifuatilia uzinduzi wa Ilani ya AZAKI kwa umakini. |
| Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini (THRDC), Bw. Onesmo Olengurumwa akisoma baadhi ya vipaumbele katika Ilani hiyo. |
| 'Naipitia Ilani ya AZAKI kwa Makini'. |
| Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kutoka Sikika, Bi. Lilian Kallaghe (Kulia) akisoma ilani hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Sikika Bw. Irenei Kiria hususan katika masuala ya afya. |
| Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jamii Media, Bw. Maxence Melo akisoma ilani ya Uchaguzi ya AZAKI Tanzania kwa niaba ya vyombo vya habari nchini. |
![]() |
| Ilani ya Uchaguzi ya AZAKI Tanzania Click here to download |

No comments:
Post a Comment