| Mkuu wa Ofisi ya Kanda Sikika - Dodoma, Bw. Richard Msittu akitoa utambulisho wa Shirika kwa Wadau wa Afya katika Mkutano - Manispaa ya Kigoma Ujiji. |
| Makamu Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mh. Athumani Mussa Athumani akitoa neno la ufunguzi. |
| Mjumbe wa timu ya SAM, Bw. Haji Sangi akiwasilisha hoja mbalimbali za timu ya SAM. |
| Wajumbe wa Timu ya Uendeshaji wa shughuli za Afya Manispaa ya Kigoma Ujiji (CHMT) wakifuatalia uwasilishwaji wa mada. |
| Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kigoma - Ujiji Dk. Peter J. Nsanya akitoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja zilizowasilishwa na timu ya SAM. |
| Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma - Ujiji Bw. Jude Mboya akifafanua baadhi ya hoja zilizowasilishwa katika mkutano huo. |
| Mmoja wa wajumbe wa timu ya SAM Bw. Adrophinus Leopold, akichangia maoni. |
| Wadau mbalimbali wa afya wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika mkutano huo. |
|
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Bw.
Kwame Andrew ambaye pia ni mgeni rasmi katika mkutano huo akisoma hotuba kwa niaba ya mkuu wa wilaya hiyo.
|
| Bw. Kwame Andrew akitoa vyeti kwa wajumbe wa timu ya SAM. |
| Wajumbe wa CHMT wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi (Kaimu mkuu wa wilaya ya Kigoma). |
| Makamu Meya, Kaimu Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Manispaa na Wajumbe wa timu ya SAM Kigoma - Ujiji wakiwa katika picha ya pamoja. |
No comments:
Post a Comment