Thursday, October 18, 2012

Mafunzo ya uwajibikaji katika jamii (SAM)


Diwani wa Kibakwe, Pamela Mnemele akiwasisitiza wajumbe wa timu ya SAM kueleza kwa uhuru na  uwazi changamoto  wanazokabiliana nazo kwenye jamii ili zifikishwe kwa madiwani na kutafutiwa ufumbuzi. Sikika inaendesha mafunzo ya SAM wilayani Mpwapwa.

No comments: