![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Hamashauri ya Wilaya ya Kondoa Bw. Juma N. Hapi akiahidi kutoa ushirikiano kwa timu ya SAM wilayani humo. |
![]() |
| Mratibu kutoka Sikika Bw. Zakayo Mahindi akiwasilisha mada ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) katika mkutano wa Wadau wa Afya wilayani Kondoa. |
![]() |
| Mratibu kutoka Sikika Bw. Fredrick Ngao (aliesimama) akitoa utangulizi katika mkutano huo. |
![]() |
| Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Dkt. Karume Maisala akichangia jambo katika mkutano huo. |
![]() |
| Kutoka Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa Bw. Emmauel Sekwao na Katibu tawala wa wilaya hiyo Bi. Winnie Kijazi wakifuatilia kwa umakini uwasilishaji wa mada katika mkutano huo. |
![]() |
| Wadau mbalimbali wa Afya wilayani Kondoa wakifuatilia mjadala kwa makini katika mkutano huo. |
![]() |
| Wajumbe wa timu ya SAM wilayani Kondoa wakimpongeza Mwenyekiti wa timu hiyo mara baada ya kuchaguliwa. |
![]() |
| Wajumbe wapya wa timu ya SAM wilayani Kondoa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mkutano kumalizika. |










No comments:
Post a Comment