Wednesday, July 23, 2014

Utawala na Usimamizi wa Fedha za Afya: Taarifa za fedha za ujenzi wa kituo hiki cha afya ziko wapi?




Rasilimali Watu: Utafiti unaonesha kuwa kati ya madaktari 2, 246 wenye shahada walishiriki utafiti mwaka 2012. Katika kila Madaktari 100 ni Madaktari 43 tuu wanaofanya kazi hospitalini.

No comments: