| Mkurugenzi wa Sikika Bw. Irenei Kiria akisisitiza jambo wakati akiwasilisha tamko hilo mbele ya waandishi wa habari. |
| Bw. Irenei Kiria akifafanua baadhi ya maswali yalioulizwa na waandishi wa habari katika mkutano huo. |
| Bw. Irenei Kiria akifafanu jambo. |
| Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifanya kazi yao. |
| Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakisikiliza kwa makini tamko hilo. |
No comments:
Post a Comment