| Dominick akifafanua jambo. |
| Kitanda cha kujifungulia akinamama wajawazito katika zahanati hiyo ambacho hapo awali kulikua hakuna. |
| Dk. Dominick (Kulia) akionesha jinsi mashine ya kuhesabu CD4 inavyofanya kazi ambapo awali zahanati hiyo ilikua haina kifaa hicho. |
| Mashine ya Kuhesabu CD4. |
| Kamati ya Usimamizi ya Kituo. Kulia ni Bw. Saidi Kizumbe, (Katikati) Bw. Isaya Msumari na Bw. Walles Nkamanjenzi |
| Wadau wa maendeleo wakiongea na Kamati ya Usimamizi wa Kituo hicho. |
| Zahanati ya Chipogolo wilaya ya Mpwapwa. |
No comments:
Post a Comment