| Afisa Tabibu wa Kituo cha Afya Kibakwe Dk. Tiophily Aloyce akisoma taarifa fupi ya kituo mara baada ya kuwakaribisha Wadau wa maendeleo waliotembea kituoni hapo. |
| Mshauri wa Masuala ya Afya, Kira Thomas (Kulia) akielezea jambo katika mkutano huo. Kulia kwake ni Afisa Maendeleo, Delphine Tardif kutoka nchini Canada. |
| Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dk. Said Ali Mawji (Kulia) akiwafafanulia jambo. |
| Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo. |
| Katibu wa Mbunge - Kibakwe Bw. Said M. Mgutho akielezea jambo katika mkutano huo. |
| Mkuu wa Ofisi ya Kanda Sikika - Dodoma Bi. Norah Mchaki akifafanua baadhi ya changamoto wanazokumbana nazo wananchi kituoni hapo. |
| Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo. |
| Kituo cha Afya Kibakwe |
No comments:
Post a Comment