Wadau wa Maendeleo kutoka nchi za Canada na Ireland wafanya mkutano na Timu ya CHMT Wilayani Mpwapwa
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dk. Said Ali Mawji (Kushoto) akiwakaribisha Wadau wa Maendeleo kutoka nchi za Canada na Ireland walipotembelea katika wilaya hiyo. Kulia ni Mratibu wa Sikika - Mpwapwa Bw. Richard Msittu.
Mshauri Katika Masuala ya Afya Karen Zamboni kutoka Ireland (Kulia) akiuliza jambo katika mkutano huo baina yao na Timu ya Afya ya Utawala wa Halmashauri (CHMT) wilayani Mpwapwa.
No comments:
Post a Comment