Tuesday, February 10, 2015

Wadau wa Maendeleo kutoka nchi za Canada na Ireland wafanya mkutano na Mkuu wa Wilaya ya Kongwa pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma Bw. Alfred Msovella akizungumza na Wadau wa maendeleo kutoka nchi za Canada na Ireland kwa namna gani wao kama Serikali wanafanya kazi na Sikika katika shughuli za kila siku.          

Mshauri wa Masuala ya Afya  Kira Thomas (Kulia) akiuliza jambo katika mkutano na Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Bw. Msovella pamoja na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama. 

Picha ya Pamoja: Wadau wa maendeleo, Sikika, Mkuu wa wilaya ya Kongwa pamoja na kamati yake ya Ulinzi na Usalama. 

No comments: