| Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (wa kwanza kulia) na baadhi ya washiriki wakifuatilia uwasilishwaji wa mada ya AZAKI. |
| Baadhi ya washiriki wakifuatilia uwasilishwaji wa mada mbalimbali katika mkutano wa JAHSR-2015. |
| Bi. Beatrice Mkani akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya maswali yalioulizwa na washiriki. |
| Mkurugenzi Msaidizi wa Tiba huduma za Hospitali, Dkt. Dorothy Gwajima akichangia hoja katika mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Marejeo ya Utendaji wa Sekta ya Afya. |
| Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI - Afya, Dk. Deo Mtasiwa akifafanua baadhi ya hoja zilizowasilishwa na washiriki katika mkutano huo. |
| Beatrice Mkani (Kulia) na Florian Schweitzer kutoka Sikika wakiandika baadhi ya maswali yaliyoulizwa na washiriki mara baada ya uwasilishaji wa ripoti ya AZAKI. |
| Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando akichangia mada. |
| Dk. Deo Mtasiwa akitoa ufafanuzi katika mkutano wa JAHSR. |
| Dkt. Oberlin Kisonga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii akiwasilisha mada. |
No comments:
Post a Comment