| Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika Bw. Irenei Kiria akiongea na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari juu ya mchakato wa kuandaa bajeti, na kuangazia mambo yanayoweza kushughulikiwa ili kuweza kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Kulia ni Mkuu wa programu za Sikika Bw. Patrick Kinemo. |
No comments:
Post a Comment