Friday, March 11, 2016

Sikika yatoa tamko kuhusu namna ya kuboresha uandaaji na upitishaji wa bajeti ya serikali: 10 March, 2016

Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika Bw. Irenei Kiria akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu namna ya kuboresha uandaaji na upatikanaji wa bajeti ya serikali ya mwaka 2016/2017. Kushoto ni Mkuu wa Programu za Sikika Bw. Patrick Kinemo.


Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Bi. Lilian Kallaghe (Kulia) akifafanua jambo. 



Bw. Irenei Kiria akijibu maswali ya waandishi wa habari.













































Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo. 

Tamko unaweza kulipata kupitia tovuti yetu ya www.sikika.or.tz 
 

No comments: